Kenyans Live

Viongozi wa Kiislamu na wazee wa Oromo na Somali wataka rais Ruto kusaidia kurejesha amani Ethiopia

Description (show more)

Nao Viongozi wa dini ya Kiislamu na wazee kutoka jamii za Oromo na Somali katika kaunti ya Isiolo wanatoa wito kwa Rais William Ruto na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kuingilia kati na kumaliza mzozo unaozidi kushika kasi kati ya jamii zao nchini Ethiopia.

Share: