Mahakama yaendelea kuchambua ushahidi katika kesi ya mauaji ya Tob Cohen
Description (show more)
Mahakama imechambua baadhi ya vifaa vilivyowasilishwa kama ushahidi na aliyekuwa mtaalamu wa Maabara ya Serikali katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Tob Cohen. Nguo alizokuwa amevaa marehemu wakati wa kifo chake, magodoro, taulo, mswaki na kamba inayodaiwa kutumika kumuua ziliwasilishwa mbele ya Jaji Diana Kavedza. Kulingana na ushahidi uliowasilishwa mahakamani, msimbojeni uliopatikana kwenye baadhi ya vifaa hivyo ulilinganishwa na DNA ya Sarah Cohen, mjane wa marehemu na mtuhumiwa mkuu katika kesi hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
29:18LIVE | GASET KAWUONO | 4/11/2026
56:29Gachagua Ajenga Akibomoa? | Magazetini #FixingTheNationNTV
· 44 views

LIVE | #RAMOGITVLIVE
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 965K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 819 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 506 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 941 views
