Kenyans Live

Timu ya taifa ya ndondi Hit Squad yajihakikishia nafasi nane katika fainali za ngumi Afrika

Description (show more)

Timu ya taifa ya ndondi, hit squad, imejikatia nafasi nane katika fainali za mashindano ya ngumi ya afrika, baada ya kufanya vizuri siku ya tano kwenye uwanja wa ndani wa kasarani. Veronica mbithe, rosem arion achieng na kelvin maina wamefuzu baada ya kushinda nusu fainali.

Share: