Kenyans Live

Rais Ruto aongoza sherehe za Mashujaa Uasin Gishu

Description (show more)

Rais William Ruto, ameongoza maadhimisho ya 63 ya Mashujaa Dei, katika uga wa michezo wa Kipchoge Keino jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Akihutubia maelfu ya wakenya waliohudhuria sherehe hizo Rais Ruto, ameibua hoja ya kuwajibika kwa serikali yake akirejelea matukio ya mwaka 2024 ya maandamano ya vijana wa Gen Z kulalamikia mswada tata wa fedha na makato zaidi pamoja na kupanda kwa gharama ya maisha. Pia aidha ameendelea kutetea utendakazi wake.

Share: