Kenyans Live

Kenya yaongeza mauzo ya bidhaa za kilimo katika masoko ya kimataifa

Description (show more)

Kenya imeongeza juhudi za kuongeza idadi ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi. Kupitia mamlaka ya utozaji ushuru, bandari ya mombasa pamoja na wanaosarifisha bidhaa , wamekuwa wakilenga bidhaa za kilimo kama vile maparachichi na mananasi yanazidi kupata umaarufu katika masoko ya kimataifa.

Share: