Kenyans Live

Rais Ruto atarajiwa kuanza ziara ya kikazi Pwani kesho

Description (show more)

Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara ya wiki moja katika eneo la pwani kesho itakayoangazia zaidi mabadiliko katika umiliki ardhi na miradi muhimu ya maendeleo.Rais anatarajiwa kutoa hatimiliki elfu mia mbili za ardhi  na kuzindua ujenzi wa kiwanda kipya cha kusafisha mafuta katika kaunti ya Lamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: