Kenyans Live

Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Machakos waandamana kuhusu CBA

Description (show more)

Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu tawi la Machakos kimeanzisha maandamano mapya, wakati huu dhidi ya baraza la chuo kikuu cha machakos kwa madai ya kushindwa kuheshimu mkataba wa makubaliano CBA kwa takriban miaka saba.

Share: