Kenyans Live

Watu wawili waonekana chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka Eastleigh

Description (show more)

Watu wawili ambao wamekwama chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka katika mtaa wa Eastleigh hapa jijini Nairobi wameonekana kwa kutumia vifaa maalum kutoka uchina. Vikosi mbalimbali vinatumia kifaa hicho kuwafikia, huku ikiarifiwa kuwa wako hai. Haya ni huku juhudi za kuwafikia watu 20 wanaohofiwa kuwa chini ya vifusi hivyo zikishika kasi.

Share: