Kenyans Live

Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi atetea uwezo wa Edwin Sifuna kuwania urais

Description (show more)

Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amepuuza hoja za baadhi ya viongozi wanaomdunisha seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna wakisema hana tajriba na uwezo wa kuwa Rais. ‎

Share: