Uhaba wa maziwa ya ng’ombe wachochea ufugaji wa mbuzi wa maziwa Kajiado
Description (show more)
Uhaba wa maziwa nchini unawasukuma baadhi ya wakenya kutafuta mbadala wa maziwa ya ng'ombe, huku ufugaji wa mbuzi wa maziwa ukijitokeza kama fursa ya kuziba pengo hilo. wafugaji sasa wanahimiza uwekezaji katika mbuzi wa kisasa wanaoweza kuzalisha hadi lita sita za maziwa kwa siku, huku wakisema gharama ya ulishaji ni nafuu ikilinganishwa na ng'ombe.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 465 views
3:40:33Citizen TV Live:
· 28.7K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.4K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 440 views
