Kenyans Live

Naibu Rais Kithure Kindiki asema Serikali itakamilisha barabara zote ilizoahidi kujenga nchini

Description (show more)

Naibu rais profesa kithure kindiki amesisitiza kuwa serikali itakamilisha ujenzi wa barabara zote ilizoahidi kote nchini akiwasuta wapinzani waliodai kuwa serikali ilikuwa inatenga tu wala haitekelezi miradi. kindiki alikuwa akizungumza alipozindua ujenzi wa barabara ya kimbo kuelekea matangini eneobunge la juja kaunti ya kiambu.

Share: