Murkomen awaonya vijana dhidi ya kutumiwa kisiasa
Description (show more)
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, amewaonya vijana dhidi ya kutumiwa na wanasiasa kuelekea msimu wa uchaguzi. Murkomen amesema vijana wanapaswa kuepuka kuchochewa kushiriki vitendo vinavyoweza kuvuruga amani na usalama nchini. Waziri huyo ameyasema hayo alipokuwa akizindua Kitivo cha Kitaifa cha Upatanishi, kinacholenga kuimarisha amani na usalama katika taasisi za elimu nchini. Kauli hiyo inajiri huku Siku ya Kimataifa ya Amani ikiadhimishwa katika kaunti kadhaa nchini. Chrispine Otieno anaripoti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:11:33
1:47NGERO NA MBAARA CIA ŨKINYANĨRIA WA KIRIU
· 1 views
1:28
2:04Raga | Rising Lionesses waandikisha historia baada ya kushinda medali ya dhahabu
· 1 views
3:41Ruto: Those who can provide internships for young people, we will net off 100% from your taxes
· 1 views
1:28Kenya na Uholanzi zimezindua mipango ya maendeleo
· 1 views
1:44Akenya kũrio mathingate mawatho ma barabara nĩgetha kũnyihanyihia mĩtino
· 3 views
2:04