Mili 14 ya waathiriwa wa mauaji ya Kwa Binzaro Shakahola yatolewa kwa mazishi
12 viewsYouTube
Description (show more)
Serikali imeachilia mili minane ya waathiriwa wa mauaji ya Kwa Binzaro-Shakahola ambayo imekuwa ikihifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Malindi, kaunti ya Kilifi kwa familia zao ili izikwe. Mtaalamu wa serikali wa uchunguzi wa mili Dkt Richard Njoroge anasema mili hiyo ni miongoni mwa waathiriwa 14 waliotambuliwa kupitia uchunguzi wa chembechembe za msimbojeni za mili 53 na vipande vya mili 44 vilivyofukuliwa kutoka kaburi la pamoja kwenye msitu wa Shakahola. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
2:22Mitihani ya KCSE 2026 yaanza rasmi leo
· 5 views
