Kenyans Live

Kituo cha malezi Rongo University chawawezesha wanafunzi wenye watoto kuendelea na masomo

Description (show more)

Kituo Cha malezi ya watoto katika chuo kikuu Cha Rongo kimekua nguzo muhimu Kwa wanafunzi walio na watoto chuoni kwani kinaendelea kuimarisha masomo ya wazazi na maisha ya watoto wachanga.

Share: