Kenyans Live

Wakazi wa Ol-Joro Orok walalamikia upendeleo katika ajira za mradi wa nyumba nafuu

Description (show more)

Wakazi wa mji wa Ol-Joro Orok wamepinga utaratibu usio wa haki wa kuajiri wafanyakazi katika mradi wa Nyumba za Gharama Nafuu wa Ol-Joro Orok, wakidai kuwa wasimamizi wa eneo la mradi wanawapuuza wenyeji na kuajiri watu kutoka nje, jambo linalokiuka matarajio kwamba vijana na vibarua wa eneo hilo wangepata sehemu kubwa ya ajira za mradi huo.

Share: