Wataalamu wahimiza uwekezaji zaidi kwenye mipango ya lishe bora
Description (show more)
Wataalamu wa lishe sasa wanatoa wito wa uwekezaji zaidi kwa wafanyakazi pamoja na vifaa muhimu huku gharama ya huduma ya afya ikizidi kuongezeka nahuku Wakenya wengi wakishindwa kupata huduma za kimsingi. Akizungumza wakati wa utoaji tuzo za uongozi katika kanda ya Afrika Mashariki jijini Nairobi, afisa mkuu mtendaji wa taasisi ya wataalamu wa lishe Dkt. David Okeyo alisema taaluma hii ni lazima ichangie katika utoaji suluhisho kwa changamoto za kiafya nchini pamoja na huduma za afya zinazofaa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
51:11Caroli Omondi: NADCO deal scrapped live streaming and stripped election officers of powers
43:37Art Of Modern Cabinetry || TV47 Breakfast || 03.11.2026
31:22🔴LIVE || NI MY GUY BUT....
5:19Gakuya: “UDA is a complete shell”- Sakaja's political future in Nairobi is dead!
3:24Lawyer Nyamori: “Kisumu is locked”- We expect 98% support for Ruto
3:00Omamo: “Sifuna is not a Bukusu leader”- Linda Mwananchi fires back at Gachagua
45:21The Economics of Accountability | Diana Mochoge
47:38