Kenyans Live

Wanasiasa wahimizwa kukomesha joto la kisiasa

Description (show more)

Wito kwa wanasiasa kupunguza joto la kisiasa kwa ajili ya amani ya taifa ulisheheni wakati wa siku ya Kimataifa ya Amani iliyofanyika jijini Nairobi. Washiriki wa maadhimisho hayo wakiongozwa na naibu kaunti kamishna anayesimamia eneo la Kibra Victor Kamonde, wakariri umuhimu wa kuishi kwa maelewano wakati nchi hii ikielekea kwenye uchaguzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: