Wanaomiliki silaha haramu wapewa mwezi mmoja kuzisalimisha kwa hiari
Description (show more)
Serikali imetangaza kipindi cha mwezi mmoja cha msamaha kwa Wakenya wanaomiliki silaha ndogo ndogo na nyepesi kinyume cha sheria ili kuwawezesha kusalimisha silaha hizo kwa hiari na kwa siri bila hofu ya kukamatwa au kushtakiwa. Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja alitoa tangazo hilo siku ya Jumanne alipokuwa akiongoza hafla ya uzinduzi wa Mwezi wa Msamaha Barani Afrika katika chuo cha maswala ya utawala na uongozi nchini huko Kabete. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
