Kenyans Live

Wakazi wa Karicheni kaunti ya Nyeri washiriki kikao cha kukusanya maoni kuhusu kiwanda cha saruji

Description (show more)

Wakaazi wa eneo la Karicheni huko Chaka kaunti ya Nyeri, wanashiriki zoezi jipya la kutoa maoni kuhusu ujenzi wa kiwanda Cha saruji eneo hilo, karibia miezi miwili tangu kukataa ujenzi wa kiwanda kingine eneo lilo hilo . Zoezi hili linajiri baada ya mwekezaji mwingine kuonyesha nia ya kujenga kiwanda Cha simiti eneo hilo linalokua Kwa Kasi.

Share: