Kenyans Live

Chuo cha Amref chanuia kupeleka huduma za afya mashinani

Description (show more)

Upatikanaji huduma maalum za afya unasalia kuwa ndoto kwa Wakenya wengi mashinani na wale wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda. Ili kukabiliana na changamoto hizo, chuo kikuu cha kimataifa cha Amref kinanuia kubuni suluhu ambazo zitasaidia kupeleka huduma za afya karibu na wananchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: