Kenyans Live

Wafanyakazi wa kampuni ya Nzoia Sugar wapanga mgomo kudai mishahara na marupurupu

Description (show more)

Wafanyakazi wa Kampuni ya Sukari ya Nzoia wamepanga kugoma kuanzia Jumatano ijayo, wakitaka serikali kuwalipa madeni ya mishahara na marupurupu yao.

Share: