Kenyans Live

Maandalizi ya uchaguzi wa baraza la vijana yashika kasi Thika

Description (show more)

Maandalizi ya uchaguzi ujao wa Baraza la Taifa la Vijana yamekuwa yakiendelea kwa kasi, Baraza hilo likifanya kampeni yake ya elimu ya kiraia katika Taasisi ya Ufundi ya Thika katika Kaunti ya Kiambu.

Share: