Polisi wanamsaka mmiliki wa jumba lililoporomoka Eastleigh
Description (show more)
Maafisa wa polisi wanamsaka mmiliki wa jumba la ghorofa 18 lililoporomoka mtaani Eastleigh, jijini Nairobi. Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amesema jumba hilo halikuwa na idhini ya kuwa na wapangaji na kwamba mmiliki atachukuliwa hatua za kisheria kwa kukiuka sheria hiyo. Sakaja aliyasema hayo alipozuru eneo la mkasa huo. Naye Kamanda wa Polisi Nairobi, Issa Mahmud, amesema maafisa wake wanaendelea kumtafuta mmiliki wa jumba hilo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:54Gavana Nyong’o awamulika wanaomezea mate ardhi ya bustani ya Baby Pendo
· 1 views
1:24Sakaja: Raila told me to join ODM
· 1 views
21:06Sammy Melly Aangazia Kurunzi Kwa Taifa I Tamrini
2:54Oparanya says UDA, ODM will negotiate way forward before 2027 polls
· 2 views
1:14Macrine Kalombo, Kenyan, has won her 100-meter freestyle heat
· 1 views
55:15KTN NEWSDESK || 2ND NOVEMBER 2026
· 62 views
3:01Over 3,000 Youths Join Police in Mukuru Sports Drive to Promote Peace Ahead of 2027
· 14 views
1:15Shabana Target Second FKF League Win Against Kenya Police at Afraha Stadium
· 10 views
