Kenyans Live

Serikali ya kaunti ya Nandi yaanza maandalizi kukabili uwezekano wa visa vya Ebola

Description (show more)

Serikali ya Kaunti ya Nandi imeanza kuchukua hatua za kujiandaa kukabiliana na uwezekano wa kutokea kwa visa vya Ebola, baada ya Wizara ya Afya kutangaza kisa cha kwanza cha ugonjwa huo nchini.

Share: