Kenyans Live

Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji aitaka serikali kutatua mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma

Description (show more)

Mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, ameitaka Wizara ya Elimu kutatua haraka mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma, ambao sasa umeingia wiki ya nne, kwa kushughulikia makubaliano ya mkataba wa pamoja wa majadiliano ya mishahara na maslahi ya wahadhiri (CBA). Akizungumza huko Kirimari, Mukunji aliikosoa serikali kwa kuchelewa kutatua mzozo huo.

Share: