Kenyans Live

Vijana wahimizwa kupanda miti ya matunda shuleni

Description (show more)

Vijana kote nchini wamehimizwa kupanda miti ya matunda katika shule kama sehemu ya juhudi za kuongeza lishe ya watoto na kuimarisha kinga yao ya mwili.

Share: