Rais Ruto apiga marufuku usafirishaji wa malighafi ya Magadi nje ya nchi
Description (show more)
Rais William Ruto ametangaza kupiga marufuku kusafirishwa nje ya nchi malighafi kutoka eneo la magadi, akisema malighafi hiyo itasafishiwa hapa Kenya ili kuunda ajira zaidi. Akizungumza kule kitui katika uzinduzi wa mradi wa simiti, rais Ruto alisema waekezaji zaidi watapewa nafasi ya kuhudumu katika ardhi ya zaidi ya ekari 24,00 ambayo kampuni ya tata magadi imekuwa ikitumia kwa miaka 100 sasa.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
22:25LIVE | GASET KAWUONO 2/11/2026
· 2 views
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 958 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 8.4K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 18.6K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 222 views
2:05Kenya beat Uganda 36-12 to win Mgingo Skirmishes in Katogo Golf Series
· 1K views
