Kenyans Live

Serikali yaweka mikakati kuimarisha sekta ya utalii kupitia chuo cha Ronald Ngala

Description (show more)

Huku masomo yakiendelea katika chuo cha utalii cha ronald ngala kaunti ya kilifi, serikali imeweka mikakati ya kuimarisha sekta ya utalii kupitia chuo hicho kwa kutoa mafunzo bora ya utalii.

Share: