Kenyans Live

Wanaharakati Kwale wataka kuharakishwa kwa sera ya usawa wa kijinsia

Description (show more)

Wanaharakati wa haki za binadamu katika Kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti na bunge la kaunti hiyo kushirikiana na mashirika ya kijamii ili kuharakisha kupitishwa kwa sera ya usawa wa kijinsia na ujumuishaji wa kijamii, wakionya kuwa kucheleweshwa kwake kutadhoofisha juhudi za kukabiliana na ukatili wa kijinsia.

Share: