Kenyans Live

Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu kuanza

Description (show more)

Maandalizi ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi kwa gharama ya shilingi trilioni 2 katika kaunti ya Lamu yameingia awamu ya mwisho. Usalama umeimarishwa katika eneo hilo huku vikosi maalum vya usalama vikipelekwa humo kuimarisha ulinzi wa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo. Kamishna wa kaunti ya Lamu Stephen Sangolo amesema kila kitu kiko shwari kusubiria sherehe ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo juma lijalo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: