Kenyans Live

EACC Kajiado yachunguza malalamiko ya ulaghai wa ardhi

Description (show more)

Suala la utapeli wa mashamba katika Kaunti ya Kajiado limetawala siku ya pili ya kampeni ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi - EACC ya kuhamasisha wakazi na viongozi wa Kajiado kuhusu namna ya kuzuia ufisadi.

Share: