Kenyans Live

Wakazi wa Ndabibi, Naivasha, wahofia athari za mvua ya bojo

Description (show more)

Wakulima katika eneo la Ndabibi, huko Naivasha wanahofishwa na hali ya kutojiandaa kwa mvua inayotarajiwa ya El nino wakisema huenda ikasababisha maporomoko na mafuriko. Hali hiyo inakuwa mbaya zaidi kutokana na hali mbovu ya barabara  ambapo baadhi ya vijiji viko katika hatari ya kukatiziwa mawasiliano na mvua hiyo. Wanasema miito yao ya awali ya ukarabati wa miundombinu imeamblia patupu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: