Kenyans Live

Kiraitu Murungi akashifu siasa za Kenya kutawaliwa na pesa badala ya maadili ya kidemokrasia

Description (show more)

Aliyekuwa Gavana wa Meru Kiraitu Murungi amekashifu siasa za humu nchini, akisema zinazidi kutawaliwa na pesa badala ya misingi na maadili ya kidemokrasia.

Share: