Kenyans Live

Wanawake 32 Wajawazito Wafariki Bungoma Mwaka Huu

Description (show more)

Kina mama wajawazito 32 wamepoteza maisha katika Kaunti ya Bungoma mwaka huu wakati wa kujifungua, huku mgomo wa wauguzi uliokamilika hivi majuzi ukitajwa miongoni mwa sababu zilizochangia vifo hivyo.

Share: