Kenyans Live

Viongozi wa Kenya Kwanza Magharibi wampigia debe Ruto 2027

Description (show more)

Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza katika eneo la Magharibi wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto kuelekea uchaguzi wa 2027.

Share: