Kenyans Live

Wanafunzi milioni 2.5 waanza mitihani ya KPSEA na KJSEA huku serikali ikiahidi haki na uwazi

Description (show more)

Wanafunzi zaidi ya milioni 2.5 wameanza mitihani ya kitaifa ya KPSEA na KJSEA ya mwaka 2026 mapema leo. Waziri wa Elimu Julius Migos amewahakikishia wazazi na watahiniwa kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha mitihani hiyo inafanyika kwa njia huru na ya haki.

Share: