Kenyans Live

Wakazi wa kaunti ya Garissa wataka NLC kushughulikia dhuluma za kihistoria za ardhi

Description (show more)

Wakazi wa Garissa wameitaka tume ya kitaifa ya ardhi kutatua dhulma za jadi zinazohusiana na ardhi wakizitaja kama vikwazo kwa uhuru wa maendeleo na umiliki wa ardhi.

Share: