Kenyans Live

Gachagua: Muungano wa upinzani utasalia pamoja hadi uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, amesisitiza kuwa muungano wa upinzani utasalia pamoja hadi uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Gachagua amesema juhudi za Rais William Ruto za kuugawanya muungano huo hazitafanikiwa.

Share: