Kenyans Live

Mipango yaendelea kudhibiti viua-wadudu kwenye mimea ya vyakula nchini

Description (show more)

Mipango inaendelea ya kudhibiti mabaki ya dawa za kuua wadudu kwenye mimea ya vyakula humu nchini kwa nia ya kuimarisha usalama wa vyakula na kuongeza uangalizi wa bidhaa za kilimo. Meneja wa uchanganuzi kwenye bodi ya udhibiti wa bidhaa za kuangamiza wadudu Grace Muchemi amesema mpango huo utaboresha udhibiti wa dawa za kuua wadudu na kuwawezesha wakulima wa humu nchini kuafikia viwango vya kimataifa ili kupata masoko zaidi ya bidhaa zao. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: