Kenyans Live

Wadau wa elimu wataka wanafunzi wenye ulemavu wapewe kipaumbele

Description (show more)

Wadau wa elimu katika kaunti ya Turkana wanataka wanafunzi wenye ulemavu wapewe ufadhili wa elimu kwa wakati ili waweze kushindana na wenzao wasiokuwa na ulemavu. Wakiongea mjini Lodwar walipokuwa wakitoa maoni yao kuhusu utekelezwaji wa JSS,wamelalamika kuwa walemavu hasa kutoka kaunti hiyo wamekuwa wakitengwa .

Share: