Kenyans Live

Gachagua adai kinara wa upinzani ataondoka dakika za lala salama

Description (show more)

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kuwa kinara mmoja wa upinzani atajiondoa kwenye muungano wa upinzani dakika za lala salama na kujiunga na Rais William Ruto endapo hatateuliwa kupeperusha bendera ya upinzani. Akidai kuwa kuna wanasiasa ambao tayari wanatoa vitisho vya kuondoka, Gachagua aliyezungumza huko Texas Marekani, amesema kujiondoa kwao hakutaathiri ushindi wa upinzani, kama Kamau Mwangi, anavyoarifu.

Share: