Kenyans Live

Muungano wa maafisa wa afya waanza mazungumzo na Wizara ya Afya kuhusu mkataba wa 2025-2029

Description (show more)

Muungano wa maafisa wa afya katika hospitali za umma nchini umeanza mazungumzo na wizara ya afya ili kufanikisha mkataba wa maelewano wa mwaka 2025-2029

Share: