Kenyans Live

Maseneta wanawake wataka wanaowapa wanafunzi mimba wakamatwe

Description (show more)

Muungano wa maseneta wanawake nchini umetaka uchunguzi kufanyika haraka iwezekanavyo, kuhusu kisa ambapo wasichana 36 kutoka katika shule ya upili ya wasichana ya bakisa kaunti ya bungoma walipachikwa mimba.

Share: