Rais Ruto aongoza hafla ya kufuzu kwa makurutu wa GSU
132 viewsYouTube
Description (show more)
Rais William Ruto amewatahadharisha wanasiasa dhidi ya kuingiza polisi katika migogoro ya kisiasa, kuchochea vurugu, au kuwaagiza maafisa wa usalama kutekeleza maagizo yasiyo halali. Akizungumza wakati wa hafla ya kufuzu kwa maafisa wa kitengo cha General Service Unit (GSU) katika Chuo cha Kitaifa cha Polisi cha Embakasi B jijini Nairobi, Rais alisema ni lazima polisi walinde nafasi ya kidemokrasia bila upendeleo huku nchi ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
15:36LIVE | KAA GI KACHA 3/11/2026
· 10 views
14:18🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
· 100 views
25:50INTERNATIONAL ROUND UP EP 49 TX 011126
· 16 views

🔴LIVE || TV47 News @4p.m with Wakio Mzenge
14:50Wathi Mwerũ ũteti-inĩ #INooroRũciinĩ part3
· 30 views
2:14Family dispute erupts after widow finds husband already buried
· 44 views
14:28WENDO: YOUNG KIGNO
· 23 views
26:13LIVE | MBAK NDALO- YUTO MARI
· 30 views
