Serikali kutafuta fedha kukarabati barabara zenye ajali nyingi
Description (show more)
Waziri wa Uchukuzi Davis Chirchir amesema serikali inatafuta fedha za kukarabati barabara ambazo zimetajwa kushuhudia visa vingi vya ajali nchini. Chirchir amesema kumekuwa na mipango ya muda mrefu ya kupanua baadhi ya barabara kuu, ikiwemo barabara ya Nairobi kuelekea Mombasa, katika juhudi za kuimarisha usalama na kuboresha usafiri. Aidha, Waziri Chirchir amesema ripoti ya awali ya uchunguzi kuhusu ajali iliyotokea eneo la Salama, Makueni, tayari imekamilika. Ripoti hiyo inatarajiwa kutoa mwanga kuhusu chanzo cha ajali hiyo na hatua zinazoweza kuchukuliwa kuzuia ajali kama hizo siku zijazo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
