Kenyans Live

Helikopta iliyomuua Wicknell Chivayo ilimwaga mafuta kabla ya kuanguka, wasema maafisa

Description (show more)

Maafisa wa usalama nchini Zimbabwe wanasema helikopta iliyokuwa imembeba mfanyabiashara Wicknell Chivayo ilimwaga mafuta kabla ya kushika moto ilipoanguka. Ajali hiyo ilimuua Chivayo, mkewe na watu wengine wanne. Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Zimbabwe imesema imepata kifaa cha kurekodi taarifa za ndege, huku uchunguzi kuhusu chanzo cha ajali hiyo ukiendelea.

Share: