Kenyans Live

Gikomba yaanza kubadilika kwa soko la kisasa

Description (show more)

Kwa zaidi ya miaka 70, soko la Gikomba limetambulika kwa biashara ya mitumba ya bei nafuu kwa wakenya na hata raia wa kigeni . Ila licha ya kuwa soko kubwa nchini, imekumbwa na changamoto si haba ikiwemo moto, mazingira duni ya kazi na mafuriko. Ni Taswira ambayo inaanza kubadilika kupitia mradi wa serikali wa ujenzi wa soko la kisasa.

Share: