Kenyans Live

Viongozi wa upinzani wamtuhumu Ruto kutumia vibaya maafisa wa usalama kuvuruga mikutano yao

Description (show more)

Vigogo wa vuguvugu la upinzani wameendelea kumkashifu Rais William Ruto akidai anawatumia vibaya maafisa wa usalama kuvuruga mikutano ya. Wakizungumza baada ya kunyimwa nafasi ya kuzungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa kamanda wa kikosi cha ulinzi wa watu mashuhuri, Lazarus Opicho huko Sirende, kaunti ya Trans Nzoia, viongozi hao pia wamemshtumu rais kw akuendeleza siasa za matusi.

Share: