Serikali yaanza maandalizi dhidi ya El Nino
Description (show more)
Naibu rais Kithure Kindiki amesema serikali imeanzisha kundi la taaasisi mbalimbali za serikali ili kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayotarajiwa kati ya mwezi Oktoba na Desemba huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa 15 wa ushirikiano wa kimaendeleo huko Karen jijini Nairobi, Kindiki alisema serikali imeweka mikakati mwafaka ya kuzuia maafa na uharibifu wa mali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:06Wanaofadhili uhuni wa kisiasa nchini waonywa
3:46Thikũ 12 ya ũhonokia wa Eastleigh
3:12
53:05Kenya's Gold Feature | BABY CORN
· 4 views
4:10Japuonjre moro onegi ndalo 2 kapok ochako penj KCSE, Siaya | #RamogiTV
· 2 views
1:28Tukafunge: Wakenya wafunguka kuhusu vitoweo wanavyopendelea kuandamana na ugali
· 4 views
1:50Mũnene wa borithi Douglas Kanja gwĩkinyia igoti-inĩ Milimani ciira-inĩ wa kũra kwa raiya wa Tanzania
· 4 views
2:53ODM yataka mengi serikalini: ODM inalenga zaidi ya magavana 25 kote nchini
· 4 views
