Kenyans Live

Chama cha kutetea maslahi ya abiria, COCOWA yaipa EPRA siku 14 kufutilia mbali bei mpya za mafuta

Description (show more)

Chama cha kutetea maslahi ya abiria, COCOWA, kimeipa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) ilani ya siku 14 kutaka kufutilia mbali bei mpya za mafuta.

Share: